October 25 2015 ni siku ya Uchaguzi Mkuu ambapo Watanzania watachagua
Rais, Wabunge na Madiwani.. sababu hiyo pekeyake inatosha kutufanya
tusikwepe kabisa kukutana na stori za kisiasa Tanzania !!
Idadi ya Wanahabari waliotangaza Kugombea Ubunge kwenye Majimbo
mbalimbali Tanzania imezidi kuongezeka, tumesikia kuhusu wengi ikiwemo
mmoja ya Wanahabari wakongwe Tanzania, Godwin Gondwe ambaye ametangaza
kugombea Ubunge wa Jimbo la Ilemela Mwanza.
Godwin Gondwe anagombea Jimbo hilo na Sera yake ni hii >>>>
‘MABADILIKO NI SASA, KURA YAKO INA THAMANI KWA MAENDELEO YA ILEMELA‘
Hapa ninayo picha inayothibitisha kwamba tayari Godwin Gondwe amechukua fomu ya Kugombea Ubunge wa Jimbo hilo Mwanza.
0 comments :
Post a Comment