-->

HII NDIO LIST YA WANACHAMA WALIOSIMAMISHWA UANACHAMA CUF

Viongozi waliosimamishwa uanachama kwa mujibu wa katiba ya chama ibara ya 85 (5)(C) hadi hapo watakapopata fursa ya kujieleza mbele ya Baraza Kuu ni hawa wafuatao.
1. Prof Lipumba
2. Magdalena Sakaya
3. Abdul Kambaya
4. Ashura Mustapha
5. Omar Mhina
6. Thomas Malima
7. Kapasha Kapasha
8. Maftaha Nachuma
9. Mohammed Habib Mnyaa
10. Haroub Shamis
11. Mussa Haji Foum
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment