-->

MBUNGE WA MPANDA MJINI KUPITIA TIKETI YA CHADEMA AJIVUA UWANACHAMA CHADEMA


SAID ARFI AJITOA CHADEMA
Mbunge wa Mpanda mjini, Saidi Arfi ametangaza rasmi kuwa uanachama wake katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) utakoma mara Bunge litakapovunjwa mwezi huu wa Julai 2015.
Akitangaza uamuzi huo Arfi ambaye ameongoza jimbo hilo kwa miaka kumi alisema "kama CHADEMA wana ubavu waje walikomboe hili jimbo. natangaza rasmi kujotoa CHADEMA. Wakati muafaka ukifika nitakuwa tayari kuvaa shati la kijani au zambarau na kumpigia kampeni mgombea nitakayeona anafaa kuongoza jimbo hili baada yangu."
"Ninawataka CHADEMA kutulia na kuangalia siasa zinavyofanywa. Wakileta vurugu zao nitawalipua maana ninawafahamu fika," alisema Said Arfi.
SOURCE:DAR24
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment