#HABARIZILIZOTUFIKIA:Mahakama
ya hakimu mkazi kisutu jijini Dar es Salaam imewahukumu kwenda jela
miaka mitatu aliyekuwa waziri wa zamani wa fedha Bazil Mramba,na
aliyekuwa waziri wa zamani wa madini na nishati,Daniel Yona baada ya
kukutwa na hatia ya uhujumu uchumi matumizi mabaya ya ofisi na
kuisababishia serikali hasara ya sh bilioni 11.7.Endelea kufuatilia
taarifa zetu kufahamu zaidi.
SOURCE:ITV
SOURCE:ITV
0 comments :
Post a Comment