Mshambuliaji wa kimataifa kutoka Uganda Hamisi Kiiza amefanikiwa kufuzu vipimi vya afya yake na tayari amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea klabu ya Simba ya Dar es Salaam.
Kiiza alitua jana nchini akitokea kwao Uganda na leo kusaini mkataba baada ya kufuzu vipimo vya afya yake.
Mshambuliaji huyo wa zamani wa Yanga amesema amekuja kufanya kazi na Simba na kuahidi makubwa akiwa na timu hiyo.
0 comments :
Post a Comment