igizo la wanafunzi lililojaa ujumbe unaohusiana na sherehe hiyo
wanafunzi wa kidato cha kwanza wakionyesha uwezo wao wa utumiaji wa lugha ya kingereza mbele ya wanafunzi wenzo pamoja na wageni waliohudhuria
wanafunzi wa kidato cha nne wakisoma risala kwa mgeni rasmi
MC wa mahafari hayo Mwl Shebughe akieleza tukio linalofuata
MKUU WA SHULE YA JABAL HIRA MUSLIM SEMINARY SECONDARY SCHOOL MWL SHAMTE akitoa hotuba yake kwa mgeni rasmi na wageni waliohudhuria kwenye mahafari hayo
MGENI RASMI DR HASHIM ISSA MOHAMED(MHADHILI MKUU MWANDAMIZI KATIKA CHUO KIKUU CHA SUA KWENYE IDARA YA SAYANSI YA LUGHA)Akiwahutubia wanafunzi pamoja na watu wote waliohudhuria kwenye hafla hiyo
mmiliki wa bustani ya habari akiwa na wahitimu wa kidato cha nne waliomba kupiga picha nae
mmiliki wa ndoano ya habari akiwa na mdogo wake mahafari anayehitimu mwaka huu
0 comments :
Post a Comment