waandishi wa habari wa Clouds TV wakiwahoji viongozi pamoja na wachezaji wa simba ambao waliahidi kufa na kupona ilimradi ushndu upatikane hapo kesho
mashabiki wa simba wakijiandaa kupiga picha na Emmanuel Okwi ambae alikuwa kivutio wa macho ya wengi uwanjani hapo
Mashabiiki lukuki waliojitokeza uwanja wa jamhuri kuwatizama wekundu wa msimbazi
0 comments :
Post a Comment