Beki
wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ (kulia), akiondosha mpira wa hatari
katika eneo la langoni kwake huku mshambuliaji wa Simba, Elius Maguri
(katikati) akijaribu kunyoosha guu ili kupiga mpira huo bila mafanikio
wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliomaliziki jioni ya leo
kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, bila timu hizo kufungana.
Kushoto ni Kelvin Yondan, akijiandaa kutoa msaada.
Kipa wa Yanga Deogratias Munishi akiruka kudaka mpira wa krosi mbele ya mshambuliaji wa Simba Elius Maguri.
Mshambuliaji wa Simba, Elius Maguri (kushoto) akijaribu kumhadaa beki wa Yanga Oscar Joshua, wakati wa mchezo huo.
Kocha wa Simba, Patrick Phir akiingia uwanjani.
Shabiki wa Simba.
Waamuzi wa mchezo huo.
0 comments :
Post a Comment