-->

EL CLASSICO NDANI YA HISPANIA,HUKU RONALDO KULE MESSI


Ligi kuu ya nchini Hispania itaendelea yena kesho kwa michezo mingi katika viwanja tofauti huku macho ya mashabiki wengi ni katika mchezo wa kuhistoria na ushindani mkubwa (El Clasico) kati ya Real Madrid wakiwa katika uwanja wa nyumbani Santiago Bernabeu wakiwakalibisha FC Barcelona.
Mchezo huo unatarajiwa kuwa mkali na wa kusisimua kwa sababu utakutanisha wachezaji bora ulimwenguni kama kwa upande wa Real Madrid, Christiano Ronaldo,James Rodriguez,Toni Kros,Karim Benzema na wengineo na kwa upande wa timu ya Barcelona kuna wakali kama Lionel Messi,Neymar,Iniesta na mchezaji Louis Suarez ambaye alikuwa anasubiriwa kwa hamu sana na mashabiki wake baada ya kuwa anatumikia adhabu yake aliyokuwa kafungia.Suarez ataonekana kwa mara ya kwanza kesho katika mchezo huo wa La liga.
Real Madrid kesho itaingia uwanjani huku wakimkosa mshambuliaji wao mwenye kasi sana Gareth Bale baada ya kuwa na majeraha ya nyama za paja.
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment