-->

RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO,DR JAKAYA MRISHO KIKWETE AZINDUA DARAJA LA MABATINI

1 (2)Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua daraja la Nyashishi lenye urefu wa mita 67 lililopo katika barabara ya Usagara Kisesa wakati alipokwenda kuweka jiwe la msingi ujenzi wa barabara kilometa 16 ya  Kisesa hadi Usagara inayojengwa kwa kiwango cha lami leo.
kuaguaWaziri wa Ujenzi Dkt.John Pombe Magufuli akimuongoza Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete kukagua daraja la waenda kwa miguu huko Mabatini Mkoani Mwanza leo muda mfupi baada ya kulifungua leo.
ufunguziRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzibdua rasmi daraja la waenda kwa miguu Mabatini Mkoani Mwanza leo.Wapili kushoto ni Waziri wa Ujenzi John Pombe Magufuli.
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment