-->

DIMARIA YUKO FITI KUWAVAA CHELSEA HAPO KESHO


Baada ya watu kuwa na wasi wasi na uwepo wa mshambuliaji huyo katika mchezo dhidi ya Chelsea kutokana kuoneka alitolewa huku akiwa na maumivu makali katika mchezo wao waliotoka sare ya 2-2 jumatatu dhidi ya West Bromich Albion, kocha wa Manchester United Louis Van Gaal amethibitisha kuwa mshambuliaji wake amefanya mazoezi na timu na yupo fiti kwa mchezo huo.
Vile vile kocha huyo amesema kuwa kiungo wake Michael Carrick yupo fiti tayari ila hatomuanzisha katika mchezo huo sababu ndo ametoka tu katika majeruhi na inabidi aanze katika michezo midogo midogo ili azoee kasi na siyo mchezo huo.
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment