-->

NAIBU WAZIRI WA ZAMANI WA AFYA,DR LUCY NKYA ARUSHIANA RISASAI NA MWANAE MKOANI MOROGORO


Naibu Waziri wa zamani wa Afya, Dk. Lucy Nkya.
Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa ccm mkoa wa Morogoro bw. Jonas Nkya


Naibu Waziri wa zamani wa Afya na mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Lucy Nkya, amerushiana risasi za moto na mwanae wa kumzaa, Jonas Nkya ndani ya ofisi zao mkoani Morogoro muda huu.
(HABARI: DUSTAN SHEKIDELEMOROGORO/GPL)
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment