Katika pita pita zangu za kwenye wall mbali mbali za watu Kwenye facebook ndipo nilipo kutana na Jenny Joseph
ambae alitupia yenye kuonyesha namna ya kupata APPS KWA BURE
HII HAPA CHINI HEBU ISOME
"jinsi ya kupata na kudownload application ambazo zinalipiwa kwenye Google play bure na zenye latest version.

HATUA YA KWANZA:
-download application inaitwa APTOIDE(ni apps ya bure)..ili kuidownload fanya hivi:-nenda kwenye brower yoyote unayoitumia ( OPERAMINI au UC BROWER) nenda sehemu ya google ukaandike APTOIDE then bonyeza search....,kwenye search results utaona sehemu pameandikwa INSTALL-APTOIDE-ANDROID STORE,au unaweza kuclick ile ya kwanza kabisa imeandikwa HOME|aptoide android apps store....then click utaona sehemu pameandikwa Install aptoide....nenda paclick(kubonyeza) then download hiyo apk then fanya kuistall katika simu yako
HATUA YA PILI
-Kuchua karatasi na pen then nenda kwenye PLAY STORE ...andika majina ya application za kulipia ambazo unazitaka.....ukimaliza nenda kafungue .... application yako ya APTOIDE ulioidownload.....ikifunguka ipo kama play store.....kwa juu upande wa kulia kunasehemu pa kusearch....eeehee kabla ya hivyo vidoti vitatu....paclick..... then unakumbuka majina ulioandika chini ya application ambazo unazitaka haya andika hapo then search itakuja hapo na utaidownload ......isipoonekana nenda kwa chini kidogo utakuta pameandikwa SEARCH OTHER STORES nenda pa click itakuletea complete action using.........
changua brower yoyote hapo.....zitakuja hapo angalia aina ya application unayoitafuta.....angalia yenye wingi wa kudownloduiwa....then click install .....HIVYO NDO JINSI YA KUDOWNLOAD application za kulipia BURE.
JAMBO LA MWISHO JINSI YA KUFANYA SCANNING ya document kwa kutumia simu yako ya android HAINA HAJA ya kutoa ELFU MOJA ya kufanya scanning kwenye INTERNET CAFE ....haya fanya hivi.....nenda kwenye application ya APTOIDE kama nilivyokufundisha hapo juu nenda katafute application inaitwa CAMSCANNER PREMIUM kwenye google play ni dola 5 ila nimekufundisha jinsi ya kuipata bure ......ukishaidownload ifungue then utaona humo humo kuna sehemu ya camera .... haya sasa chukua cheti chako au document yoyote....ipinge picha kutumia hiyo application ....ukimaliza itakuletea uiweke vizuri then kwa chini kulia kunasehemu ipo kama tiki.....haya pa click hapo itakuscania document then itasave kwenye simu tayali kuituma kwenye emails
LIST ya application bora nitawapatia hapo kesho ( guys msisahau kunipatia hata vocha ya 1000) kwa hichi nilichokifundisha...PIA GUYS nasubiria comment zenu plz plz msiache kukoment....itanipa moyo niwafundishe zaidi na zaidi......kabla sijasahau plz vocha guys AM BACK Mrs nest Drama Girl hivi kweli mmenimisije"
Kiukweli ni jambo la kushangaza sana lakini ndio ukweli,Ama kwa upande wa policy na privasy za makampuni yanayouza APPS ni haramu kufanya hivyo, yoyote atakayefanya basi azingaztie hatari iliyopo mbele yake
source :FB

0 comments :
Post a Comment