Dereva wa Lori amepoteza maisha hapohapo.
Basi la
Simba mtoto linalofanya safari zake kati ya Dar na Tanga likiwa
limegongana uso kwa uso na Lori la mizigo katikati ya Daraja la Mto Wami
mkoani Pwani,dereva wa lori hilo amefariki papo hapo na wengine
kujeruhiwa.tutaendelea kupeana taarifa zaidi hapo baadae.
0 comments :
Post a Comment