-->

GERRARD KUIHAMA LIVERPOOL KWENYE MAJIRA YA JOTO


Nahodha wa Liverpool amesema ya kuwa ataondoka katika klabu ya Liverpool na kutafuta timu katika majira ya joto kama tu hatopewa ofa ya kuongeza mkataba mpya.
Nahodha huyo ambaye alianza kucheza katika klabu ndogo ya Liverpool tangu akiwa na miaka 9 na kuweza kucheza mara 700 katika kikosi cha kwanza cha Liverpool.
Steven Gerrad kwa sasa ana miaka 34 na ameweza kucheza michezo yote ya ligi kuu ya Uingereza na ligi ya mabingwa Ulaya msimu huu.
Gerrad kasema ya kuwa hatostaafu msimu huu na kama hatopewa ofa ya kuongeza mkataba msimu huu basi atakwenda kucheza sehemu nyingine yeyote.
Mkataba wake ambao uko hai kwa sasa unatarajia kumalizika itakapofika mwezi wa tanoo mwakani.
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment