VIDONDA VYA TUMBO,DALILI NA MATIBABU YAKE
Imekuwa ni changamoto sana kwa watu wanaosumbuliwa na
vidonda vya tumbo hii ni kwa sabubu zifuatazo
1.
Jamii haijatambua kuwa vidonda vya tumbo
husababishwa na mienendo ya maisha yetu. Hivyo tiba yake kuu ni kubadili maisha
tunayoishi nayo,kuanza lishe tunayopata,jamii tunayo ishi nayo, na kuepuka
vinywaji vinavyo hatarisha afya ya ukuta wa mfuko wa chakula.
2.
Dawa kama omeprazole na zingine nyingi ambazo
kwa pamoja tunaziita PROTON PUMP INHIBITORS zinapunguza utoaji wa asiodi ambayo
ikitolewa kwa wingi inaenda kuharibu kuta za mfuko wa chakula. Hivyo zinazuia
tu tindikali bila kushugulika na chanzo cha kuongezeka kwa hiyo tindikali. Hivyo
bila kuondoa chanzo kinachosababisha kuongezeka kwa tindikali hiyo ya HCL hata
siku moja huwezi kupona ndio mana siku hizi kuna dawa za kutuliza kama mmoja
wapo wa wagonjwa nilikutana nae anasema hivyo. Inaweza kuwa leo hii na wewe
umebahatika kusoma makala hii hivyo napenda nikuambie kuwa tiba ya vidonda vya
tumbo ni wewe mwenyewe na tiba yake unayo hapo nyumbani tatizo ni kwamba
tumeshaga kalili tu kwamba tiba lazima uikute madukani inauzwa.. vidonda vya
tumbo vinatibika pata elimu ya lishe na badili tabia yako hakika utapona.
3.
Hizi dwa za vidonda vya tumbo zinatakiwa
zitumike pale panapohitajika siyo maisha yako yote. Kwani hizi dawa mara nyingi
huja na maudhi mbalimbali kwani ni dawa ambazo zimetengenezwa kwa chemikali. Dawa
pekee ambazo ni sahihi kwa matumizi na zina madhara kidogo ni zile ambazo ni
asili. Changamoto kubwa kwa hapa Tanzania ni kuwa huduma hii bado haijapata
wataaalamu waliobobea wakaanza kutoa bidhaa bora na zenye kufanyiwa utafiti wa
kutosha na zenye kiwango cha kimataifa.
4.
Tunapenda kula vyakula vyenye sukari
nyingi,vyakusindika,viwandani na vyenye viungo vingi hivi vyote ndio
visababishi vyakutolewa kwa tindikali ya HCL mwilini ambayo ikizidi inaharibu
kuta za tumbo. Hivyo ni wakati sasa wa kurudi katika vyakula ambavyo bibi na
babu zetu walivyo kula. Ni ukweli usiopingika kuwa vyakula vya super markert ni
vya bei ya chini kuliko vyakula vya matunda, na mboga mboga. Je umeshaga
jiuliza kwa nini hivyo vyakula vinauzwa kwa bei ndongo!!! Fanya uchunguzi huu juice ya zabibu lita moja
ukiitengeneza wewe ya asili itagharimu shilingi ngapi!! Na je lita moja ya
zabibu juisi kiwandani ni shilingi ngapi!! Ifike sehemu tubadirike kwani tiba
ipo nyumbani na vyakula tunavyokula ndivyo vinaangamiza jamii. Nalijua hilo
mtanzania anapokuwa ana afya njema ni mjuaji sana kuhusu afaya yake laikini
waswahili walisema mganmga hajigangi.
VIDONDA VYA TUMBO NINI??
>Ni kuharibika kwa ukuta wa tumbo la
chakula na sehemu ya mwanzo ya utumbo mwembamba
Kuna aina kuu mbili za vidonda vya tumbo
1.
Gastric ulcers-hivi hutokea kwenye mfuko wa
tumbo la chakula
2.
Duodenal ulcers-hivi hutokea sehemu ya mwanzo ya
utumbo mwembamba
VISABABISHI VIKUU VYA VIDONDA VYA TUMBO
1.
KUONGEZEKA KWA TINDIKALI YA HCL KWENYE TUMBO LA
CHAKULA
>imekuwa ni changamoto kubwa sana kwani moja ya visababishi hivi kila
siku tunakumbana navyo ndiyo maana kwa nchi kama Tanzania kutibu vidonda vya
tumbo ni changamoto kubwa.
VIFUATAVYO HUONGEZA TINDIKALI YA HCL
A.
MAWAZO
Watu wengi tunasumbuliwa na changamoto hii ya kushambuliwa na msongo wa
mawazo kila siku hii inatokana na kutojua namna ya kushughulika na msongo wa
mawazo. Jifunze namna ya kuepuka msongo wa mawazo utaona mabadiliko yakitokea .
B.
Madawa mbalimbali
Ø
Imekuwa ni desturi sisi kutumia dawa kama
diclofenac,aspirin na zingine nyingi kama makande. Dawa hizi huzuia
utengenezaji wa uteute unaolinda ukuta wa tumbo na hivyo kushambulia kwa kasi
kwa ukuta wa tumbo. Pia dawa hizi huzia utengenezwaji wa ukuta wa tumbo na
hatimaye ukuta kudhoofika na kuanza kushambuliwa na tindikali. Pia dawa hizi
zinaua bacteria wanao stahili kukaa tumboni yani normal flora na kufanya wadudu
nyemelezi kama helicobacter pylori kushambulia ukuta wa tumbo. Kuwepo kwa
walinzi hawa huyo mdudu anaye sababisha vidonda vya tumbo hata siku moja hawezi
kushambuliwa. Hivyo kuwalinda bakiteria hawa ni kuhakikisha tunawalisha chakula
kinachowafanya waendelee kustawi na kukulinda. Jiulize ni chakula gani
kinafaa?? Jibu ni vyakula vitokanavyo na mimea na matunda hufanya bactria
walinzi wetu watulindi kwa umahili mkubwa.
C.
Uvutaji wa sikara na kunywa pome sana
D.
Vyakula vibaya tunavyokuwa kila siku
DALILI ZA VIDONDA VAYA TUMBO
1.
Tumbo kuwaka moto sehemu ya juu kulia na endapo
maumivu yakizidi husambaa hadi mgongoni.
2.
Njaa hasa wakati wa usiku saa kumi na moja
asubuhi utasikia tumbo linawaka moto
3.
Tumbo kujaa gesi sana
4.
Kichefu chefu na kuharisha kutokana na kubagua
vyakula
5.
Inaweza kupelekea kutapika damu,kuishiwa damu na
hatimaye kifo kama mgonjwa asipo wahishwa hospitali
6.
Kutoa choocheusi ni kiashiria damu inavia sehemu
ya juu ya tumbo.
UKIONA DALILI KAMA HIZI TAFADHARI MUONE DAKTARI
VYAKULA VYA KUEPUKA KABISA
1.
Vyakula vyenye viungo vingi.
2.
Vyakula au kinywaji chenye caffeine hivyo
angalia label kama wewe ni muhanga wa vyakula vya viwandani na hutaki kuacha.
3.
Pombe ya aina yoyote
4.
Vyakula vyote vya ngano nyeupe kama mikate nk
kwani zina glutten
5.
Vyakula vya sukari nyinngi pia vinywaji vya
sukari nyingi. Hii ni kwa sababu ulapo au unywapo sukari nyingi inalisha
bakiteria wabaya na hatimaye hao bacteria wazuri kufa na hawa wabaya kuanza
kushambulia kuta za tumbo la chakula. Hivyo sukari huenda kulisha bacteria
wabaya.
HIVI NI VYAKULA VIKUU VYA KULA KWA MTU MWENYE VIDONDA VYA TUMBO
MATOKEO NI NDANI YA MUDA MFUPI TU.
1.
KULA CHAKULA KIDOGO KIDOGO
Ø
Hii ina maaana unatakiwa kuepuka kitendo cha
kula chakula kingi kwa mara moja. Tenga chakula chako na kigawanye ule mara
nyingi hii ni kwa sababu unapokula chakula kingi kwa wakati mmoja kunasababisha
mmengenyo wa chakula utaenda polepole na hivyo kuzidi kuathiri zaidi ukuta wa
tumbo. Pia tunashauri ule mara kwa mara ili kufanaya chakula cahako kifanyiwe
kazi ipasavyo bila mrundikano na pia kupunguza maumivu ya tumbo.
2.
KULA VYAKULA VYA NYUZINYUZI AU FIBER
Ninapo ongelea fiber nina maaanisha kutoka kwenye mboga mboga na matunda
pia nafaka kidogo. Hakikisha kila siku unatapata angalau 30gm za fiber
itakusaidia na kukubadilisha maisha kabisa. Kwani utafiti unaonesha kuwa fiber inaongeza
wingi wa kichocheo cha LEPTIN ambacho hukusaidia wewe ule kwa kiasi pia
zinakata ulaji mwingi wa sukari pia inakufanya ukae muda mrefu tumbo likiwa
limeshiba. Hivyo hapo utakuwa umeua ndege wawili kwa jiwe moja kwani umezuia aside,umeakata
ulaji wa sukari na hakuna maumivu tena ya njaa. Swali la kujiuliza ni vyakula
gani vina fiber nyingi?? Vyakula vipo vingi lakini jitahidi sana kutumia juice
na mboga za majani ulizo zipika kwa mvuke pekee kwani zina fiber nyingi sana
ppia kuna matunda yani wengi mkubwa wa fiber karibuni tujifunze mengi.
3.
JUICE YA KABEJI
Imekuwa ni furaha iliyoje nataja mboga ambayo kila siku tunaona ni mboga
ambayo haina manufaa kwetu. Kwani utafiti unaonesha kuwa kabeji ina alkali
ambayo hupunguza makali ya tindikali pia ina wingi wa vitamin C na viambata
vingine mahususi ambavyo hufanya wale bacteria wazuri wale vizuri na watulinde
na magonjwa nyemelezi kama huyo h. pylori. Pia ina VITAMINI K AMBAYO INA KAZI
KUBWA SANA YA KUPONYESHA KABISA KUTA ZA MFUKO WA CHAKULA.
MATUMIZI
Andaa kabeji yako na uoshe vizuri hakikisha una APPLE MBILI NA CARROTI
HATA MBILI katakata weka kwenye Brenda kasha saga kwa muda wa dakika 5-8 tumia
juice hii mara tatu kwa siku asubuhi mchana na jioni kabla ya kula chochote kaa
nusu saa kula chakula.
4.
MAJANI YA ALOE VERA
Utafiti unaonesha kwamba utumiapo kinywaji hiki kwa muda mrefu
kinaponyesha vidonda vya tumbo. Wengi kinyaji hiki wanakiogopa ni kwa sababu ya
uchungu wake. KAMA UTAHITAJI VIDONGE VILIVYOTENGENEZWA KITAALAMU BILA KUWEKEWA
KEMICALI YOYOTE NIPIGIE 0767074124 KUMBUKA HIVI NI VIZURI HIVYO INAFAA KWA YULE
AMBAYE ANASUMBUKA KUNYWA JUICE KWA SABABU YA UCHUNGU WAKE. HIVI NI VIDOBNGE
VIKO KAMA PIPI VINAITWA ALOESOFT GEL CAPSULES
Unashauriwa utumie juice ya aloe vera ROBO KIKOMBE MARA TATU KWA SIKU NUSU SAA BAADA
YA KULA. Kwa wale watakao hitaji vidonge ni ALOE SOFT GEL CAPSULES 500mg mara
mbili kwa siku nusu saa kila baada ya kula. Unashauriwa utumie dozi hii kwa
muda wa miezi mitatu mpaka mine. ALOE CAPSULES ZINATIBU KABISA UKUTA WAKO ULIO
ATHIRIWA NA ASIDI TUMBONI.
………………………………………………………………………………………………………………………
CHAKULA NI TIBA UNAWEZA LIKE PAGE YANGU FACEBOOK INAITWA MKUMBO NEPTUNUS
COMPANY LTD SASA INA WATU 1295 NAOMBA TUUNGANE WOTE KUTOKOMEZA MAGONJWA SUGU
0767074124 DR MKUMBO
0 comments :
Post a Comment