-->

WAZILI MKUU MIZENGO PINDA AKUTANA WATANZANIA WAISHIO NJE YA NCHI(POLAND)

Baadhi ya Watanzania waishio Poland wakimsikiliza Waziri Mkuu Mizengo Pinda (hayupo pichani) wakati alipokutana nao mwishoni mwa wiki kwenye hoteli ya Sheraton jijini Warsaw, Poland. Waziri Mkuu alikuwa nchini humo kwa ziara ya siku tatu.
Mmoja wa Watanzania waishio Poland wakiagana na Waziri Mkuu Mizengo Pinda mara baada ya kukutana nao mwishoni mwa wiki kwenye hoteli ya Sheraton jijini Warsaw,Poland.Waziri Mkuu alikuwa nchini humo kwa ziara ya siku tatu. (Picha na Irene Bwire wa OWM).
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiagana na Mwenyekiti wa Watanzania waishio Poland (WAPO), Bw. Steven Sambali mara bada ya kukutana nao na kuwaeleza mambo yanayoendelea nyumbani Tanzania. Waziri Mkuu alikuwa nchini humo kwa ziara ya siku tatu.
GPL
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment