Katibu wa
maendeleo ya jamii katika jiji la Abuja Nigeria, ametangaza ‘kiama’ kwa
wanawake wanaofanya ‘biashara ya kujiuza’ pamoja na wateja wao.
Taarifa
iliyochapishwa na Today Internet Newspaper imesema, katibu mkuu huyo
Blessing Unoh amesema serikali imetoa amri ya kusitisha biashara hiyo
ndani ya saa 48, kwa yeyote atakayekiuka hatua kali za kisheria
zitachukuliwa dhidi yake.
Amri hiyo
imetolewa saa chache baada ya katibu mkuu huyo kutembelea maeneo mbali
mbali ambayo yamebobea kwa biashara hiyo ambapo amejionea hali halisi
0 comments :
Post a Comment