-->

TAASISI YA THE ISLAMIC FOUNDATION KUJENGA HOSPITALI KUBWA YA RUFAA

Taasisi ya The Islamic Foundation inatarajia kujenga hospitali kubwa ya rufaa ambayo itakuwa ikitoa huduma ya matibabu kwa watu wa imani zote .M/kiti wa The Islamic Foundation amekuwa akilisema hilo katika ziara zake za hivi karibuni.Hospitali hiyo itatoa tiba huku ikizingatia maadili pia ya kiislam yaani wanwake kutibiwa na madaktari wanawake na wanaume kutibiwa na madaktari wanaume.
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment