Kwenye ukurusa wa mh Zitto Kabwe imepatikana post ambayo Zitto Kabwe ameipost kuwa ametoka kuwashtaki wale waliomchafua kupitia waraka ulioitwa Waraka wa siri wa Zitto Kabwe"Nimetoka
makao makuu ya polisi, upelelezi, kuandika statement kuhusu vitisho
dhidi yangu kufuatia hekaya inayoitwa "Ripoti ya Siri ya Zitto Kabwe".
Chanzo cha hekaya sasa kinabadilishwa kutoka makao makuu ya CHADEMA na
kuwa ni usalama wa Taifa au CCM.
Wahusika waendelee kuhamisha chanzo lakini wajue watasakwa na kukamatwa
na kuburuzwa mahakamani. Nimewashitaki kwa kunitishia maisha.
Ninawashitaki kwa kunichafua kwa tuhuma za uongo.
Ninafanya haya kwa lengo la kuhakikisha kuwa siasa za kuzushiana na kusambaza uongo zinakuwa na gharama kubwa."
Ninafanya haya kwa lengo la kuhakikisha kuwa siasa za kuzushiana na kusambaza uongo zinakuwa na gharama kubwa."
0 comments :
Post a Comment