KUPUNGUA UZITO
Kwa wanaotaka kupungua uzito mnaweza kua mnakunywa mchanganyiko wa ASALI na MDALASINI kwa kufuata step kama zinavyoonekana kwenye picha.
1. Chukua kijiko kimoja cha MDALASINI na uchanganye kwenye kikombe cha maji yaliyochemka.
2. Funika kikombe chako kwa angalau NUSU SAA ili kuacha maji yapoe.
3. Toa uchafu chafu wa mdalasini Chukua kijiko kimoja au viwili vya ASALI changanya kwenye maji yako
4. Kunywa mchanganyiko huo asubuhi na mapemaal angalau kabla hujanywa chai na usiku kabla ya kulala.
KUMBUKA
Kupungua uzito hakutegemei tu kunywa mchanganyiko huu, ni lazma ubadili aina ya maisha unayoishi pia.
1.anza kunywa maji mengi kwa siku
2. Anza kufanya mazoezi ya viungo angalau nusu saa kwa siku.
3. Punguza vyakula vyenye sukari nyingi, kama soda, keki n.k
4. Punguza vyakula vya mafuta mengi
5. Punguza kiasi unachokula kwa siku
Hapo utaona matokeo mazuri zaidi.
Unaweza SHARE na watu uwapendao.
CHANZO:HONEY SPRINGKwa wanaotaka kupungua uzito mnaweza kua mnakunywa mchanganyiko wa ASALI na MDALASINI kwa kufuata step kama zinavyoonekana kwenye picha.
1. Chukua kijiko kimoja cha MDALASINI na uchanganye kwenye kikombe cha maji yaliyochemka.
2. Funika kikombe chako kwa angalau NUSU SAA ili kuacha maji yapoe.
3. Toa uchafu chafu wa mdalasini Chukua kijiko kimoja au viwili vya ASALI changanya kwenye maji yako
4. Kunywa mchanganyiko huo asubuhi na mapemaal angalau kabla hujanywa chai na usiku kabla ya kulala.
KUMBUKA
Kupungua uzito hakutegemei tu kunywa mchanganyiko huu, ni lazma ubadili aina ya maisha unayoishi pia.
1.anza kunywa maji mengi kwa siku
2. Anza kufanya mazoezi ya viungo angalau nusu saa kwa siku.
3. Punguza vyakula vyenye sukari nyingi, kama soda, keki n.k
4. Punguza vyakula vya mafuta mengi
5. Punguza kiasi unachokula kwa siku
Hapo utaona matokeo mazuri zaidi.
Unaweza SHARE na watu uwapendao.
0 comments :
Post a Comment