-->

MAHAFALI YA 43 YA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM YAFANA

Mahafali ya 43 ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam(UDSM) Yafana leo ndani ya Ukumbi wa Mlimani City.
Fatihiya Mohamed (wa pili kushoto) akiwa tayari kwa kutunukiwa shahada ya uzamili ya biashara na uongozi.
wahitimu wakisubiri kusogea mbele ili kukabidhiwa shahada zao.
Fatihiya na wahitimu wenzake wakisikiliza jambo  wakati wakisubiri kutunukiwa shahada zao za uzamili ya biashara na uongozi.(picha na Andrew Singu ofisa habari bima ya afya )                    
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment