Maneno ya hapo chini ni nukuu ya post ya Mh Mwigulu Nchemba katika ukurasa wake wa facebook
Nimejiuliza maswali ambayo watanzania wanapaswa kuyatafakari.
1) ZITTO ALIVITAKA VYAMA VYA SIASA KUKAGULIWA KWA MJIBU WA SHERIA YA
NCHI WALA SIO SHERIA YA ZITTO. CHADEMA WAKAMVUA UONGOZI KWA KIGEZO KUWA
HAKUWATONYA KUWA KAMATI YAKE ITAFANYA HIVYO ILI WAWEKE MAMBO SAWA. HIVI
CHADEMA WANGEKUWA NA SERIKALI WANGEMFANYA NINI MDHIBITI NA MKAGUZI WA
MAHESABU YA SERIKALI CAG MARA BAADA YA KUIKAGUA SERIKALI? KAMA MTU
ALISHEURI TU CAG AKAGUE WALA SIO YEYE AMEKAGUA WAMEMVUA UONGOZI?
WANGEMNYONGA MPAKA KUFA KWA KUKAGUA MAHESABU YA SERIKALI.
2) KAMA
WATU WANAOTAFUTA UENYEKITI TU NDANI YA CHAMA TENA KWA KURA ANAITWA
MHAINI, WAKAWAVUA UONGOZI. JE CHADEMA WANGEKUWA NA SERIKALI HALAFU CHAMA
KINGINE KIKATAKA KUWAONDOA MADARAKANI WANGEWAITA NANI? WANGEWAFANYEJE?
WANGEWANYONGA MPAKA KUFA. THESE ARE TYPICAL DICTATORS. WALISEMA NCHI
HSITATAWALIKA NAONA SASA CHAMA NDICHO HAKITAWALIKI. DEMOKRASIA JINA TU
About Omari Makoo
Blogger Comment
Facebook Comment