-->

HII NDIO NJIA NJIA NYINGINE RAHISI YA KUJUA ASALI ILIYOCHAKACHULIWA

Hatutachoka kuwakumbusha juu ya utambuzi rahisi wa asali ili kulinda afya zetu.

TAMBUA ASALI HALISI KWA NJIA HII RAHISI KABISA POPOTE UTAKAPOKUEPO.
Matumizi ya asali ni mazuri kwa afya yako lakini ikiwa tu utatumia ASALI HALISI na sio asali CHAKACHULIWA. Ukitumia asali halisi utapata matokeo unayoyategemea na si vinginevyo.
Kutambua asali halisi fata mtiririko huu:-
1.Chukua glass unayoweza ona ndani kwa urahisi.
2.Jaza maji angalau nusu
3.Dondoshea asali taratibu kwenye glass yenye maji kama inavyoonekana kwenye picha.
4.Asali halisi inatakiwa iende mpaka chini na kutulia na isijichanganye na maji.

Kama asali uliyonayo sio halisi pindi itakapogusa maji tu itajichanganya na maji hayo.

SHARE kama unataka watu wengine waepuke kuibiwa wanunuapo asali.

CHANZO:HONEY SPRING
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment