Habari
zilizotufikia katika chumba chetu cha habari zinaeleza kuwa Mjumbe wa
tume ya mabadiliko ya Katiba kutoka chama cha demokrasia na maendeleo
(chadema) ametoa kauli ya kujiondoa na kujiuzulu nafasi zake ndani ya
Chama hicho kupelekea maamuzi yaliyofanywa na kikao cha kamati kuu ya
chama hicho.
Huyu ni Mjumbe wa pili wa kamati
kuu ya Chadema kuamua kujiuzulu wadhifa wake katika kipindi kisichozidi
masaa 12.
Blogger Comment
Facebook Comment