Mwizia anatumia jina la Batman bin Superman akamatwa na jufunguliwa mashtaka na hatimae kufungwa jela kifungo cha miezi 33 jela.Kijana huyo mdogo mwenye umri wa miaka 23 alikuwa akijaribu kuvunja na kuiba katika eneo la snooker hall(ukumbi wa kuchezea sooker game)kwenye shopping center iitwayo Depot height huko Singapore na kuiba S$500 (£250).Picha zake zilionekana kwenye CCTV akijaribu kufanya uovu,Kijana huyo ameshawahi kufanya uhalifu wa kumuiba kaka yake pesa kiasi cha S$650 (£325) kwa kutumia ATM card yake.
Kitambulisho chake kimekuwa kituko na ni chenye kuchekesha kwani yeye amejipa la BATMAN BIN SUPERMAN na kutafasiliwa kama superhero kutokana majina hayo maarufu ya wacheza muvi zilizotamba zikiwa zinaonyesha ushujaa wa hali ya juu
Kijana huyo ana page yake facebook ambayo nayo inafahamika kwa jina la ‘Batman bin Suparman Fan Club’
Hizo hapo juu ni picha ZA watu waliotumia jina hilo katika muvi na kujipatia umaarufu mkubwa duniani
SOURCE:DAILYMAIL

0 comments :
Post a Comment