-->

SIMBA WAFANYA USAJILI WA KUTIKISA MJI,WAWACHUKUA WAKALI WAWILI KWENYE TIMU YAO

Mwenyekiti wa Simba SC, Aden Rage (katikati) akiwa na wachezaji wapya Badru Ally (kulia) na Awadh Juma (kushoto) baada ya kusaini kuichezea Simba leo.

Klabu ya Simba SC leo imewasajili wachezaji wawili ambao ni Awadh Issa kutoka Mtibwa Sugar na Ally Badru kutoka Canal Suez ya Ligi Kuu ya Misri!
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment