“Manta Resort” Hotel hii ya kipekee iliyo
visiwani Zanzibar yawa gumzo kwenye Vyombo vya Habari vya Kimataifa...
Ina vyumba chini ya maji na Bei ya kulala kwa siku ni $900 single na a$1,500 double..Hoteli imekua gumzo kwenye vyombo vya habari vya kimataifa na ndio hoteli pekee yenye vyumba vya chini ya maji Barani Africa ambapo mtu akiwa chumbani anaweza ona samaki wakipita nje ya dirisha lake…Tazama picha zaidi hapa chini,,,,

0 comments :
Post a Comment