-->

JE UNASUMBULIWA NA KIUNGILILA NA HAUJUI TIBA YAKE??JIBU HILI HAPA


 
JINSI YA KUTUMIA ASALI NA KUTIBU TATIZO LA KIUNGULIA "HEARTBURN"
Tatizo la KIUNGULIA "HEARTBURN" limekua likiwapata watu wengi.
Kiungulia ni matokeo ya ACID kutoka tumboni kurudi katika KOROMEO (OSEPHAGUS) na hvyo kusababisha kujiskia kama kuungua kifuani.
Kiungulia huweza sababishwa na mambo mengi ikiwemo UVUTAJI SIGARA, KUTOSAGIKA CHAKULA VIZURI "INDIGESTION", OBESITY, POMBE, TOMATO SAUCE n.k

Kujizuia na tatizo hili unashauriwa kula ANGALAU KIJIKO KIMOJA CHA ASALI CHA CHAKULA pindi unapojihisi kiungulia kwani asali itasaidia kulainisha koromeo lako na kuondoka na tatizo hilo. Lakini pia kwa wenye tatizo kubwa la kiungulia wanashauriwa kula KIJIKO CHA ASALI kila baada ya kula chakula.

Note:usiache kua na asali japo kidogo ndani yaa nyumba yako
Unaweza SHARE ukipenda
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment