Mh Zitto Kabwe baada ya kunyanganywa vyeo vyake vyote katika chama cha CHADEMA na kubakia na ubunge pamoja na nafasi ya uwanachama bado hajatoa kauli yoyote kwenye vyombo vya habari.Ila amefanya tukio moja tu la kubadilisha cover photo yake ya facebook na kuweka picha nyingine ambayo amekuwa akihutubia umati mkubwa wa watu kama inavyoonekana hapo chini
Picha hii kwa wanafasihi huenda wakaibua maana nyingi sana kutokana kitendo hicho cha yeye kunyang'anywa vyeo vyote katika chama.BUSTANI YA HABARI haibui maana ila inaamini kila msomaji anaweza pata maana yake kutokana na tendo la yeye kung'olewa katika nyazfa za uwongozi huku viongozi wawili Baruge mjumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba na Said Arfi - Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA amejiuzulu rasmi nafasi yake katika chama.
JE WEWE MSOMAJI UNAFIKIRI KITENDO CHA KUBADILISHA COVER PHOTO KINA MAANA GANI???WEKA COMMENT KWA LUGHA NZURI ISYO YA MATUSI

Blogger Comment
Facebook Comment