Ingawa kwa mtazamo wa haraka jambo hilo ni kama Uchoyo, lakini naimani wapo Bloggers miongoni mwetu ambao huwa tunaumia sana pale mtu anapo copy post yako nzima ambayo umeiandaa kwa zaidi ya siku 2 hivi halafu asiweke source au link yako.
Hali huwa Mbaya zaidi kwani Kuna Baadhi ya wezi hao wasiokuwa na fadhila, blogs zao hupatikana kirahisi zaidi katika search engines jambo linalowafanya wazidi kuwa juu kuliko wewe mmliki wa halali wa Content hizo.
Ile Dawa iliyokuwa ikichemka sasa imesha iva. Na Inaweza kuwa hivi:-
1. Linda Kazi/Post zako kwa kuzuia Right Click ya Mouse.
Kupia Codes ntazokuwekea hapa Chini, Mouse ya computer yoyote haitaweza kufanya kazi upande wa Kulia, hivyo kumnyima fursa mtu anaye taka ku Copy huku akipata ujumbe Unaoonesha umezuia.
Fanya kama una Add widget kupitia LAYOUT ya Blogger Dash board yako, Kisha Paste Code hizi katika HTML au JAVA SCRIPT kisha save, mchezo Kwishnehi.
Code Hizi:-
<script language=”JavaScript”>
<!–
//Disable right mouse click Script
//By Cyber World (contact@esoftload.info) w/ mods by Software Store
//For full source code, visit http://www.esoftload.info
var message=”Tanzania Bloggers Hairuhusiwi Kubonyeza Hivyo!”;
///////////////////////////////////
function clickIE4(){
if (event.button==2){
alert(message);
return false;
}
}
function clickNS4(e){
if (document.layers||document.getElementById&&!document.all){
if (e.which==2||e.which==3){
alert(message);
return false;
}
}
}
if (document.layers){
document.captureEvents(Event.MOUSEDOWN);
document.onmousedown=clickNS4;
}
else if (document.all&&!document.getElementById){
document.onmousedown=clickIE4;
}
document.oncontextmenu=new Function(“alert(message);return false”)
// –>
</script>
KISHA SAVE.
Usisahau Kubadilisha Maneno “TANZANIA BLOGGERS HAIRUHUSIWI KOBONYEZA HIVYO” Kuwa unavyotaka wewe.
2. Njia ya Pili ni Kuzuia Ku copy bila kutokea Ujumbe wowote.
Pia njia hii haihitaji uende uka Edit Code za Template katika HTML, Fanya kama hapo juu, Ukisha add hiyo widget Paste Cody Zifuatazo kisha save:-
<!–MBW Code–>
<script language=’JavaScript1.2′>
function disableselect(e){
return false
}
function reEnable(){
return true
}
document.onselectstart=new Function (“return false”)
if (window.sidebar){
document.onmousedown=disableselect
document.onclick=reEnable
}
</script>
KISHA SAVE.
Kupitia njia hizo naimani utazuia watu wasiopenda kuumiza vichwa na kuandika makala zao wenyewe. Hii haimaanishi hawataitembelea Blog yako, ila itafanya wawe wabunifu katika Kuandaa Post zao wenyewe.
Ikiwa bado kuna JANGILI limeweza kuvuka njia zote hizo na Ku Copy basi DAWA ya mwisho ipo, hiyo huitaji uka paste kidogo katika HTML Editor ya Template yako. Lakini nnaimani kwa hapo utapunguza vijizi vya kitoto vya kazi zako.
Tafadhali lete maoni yako.
CHANZO:TANZANIA BLOGGERS
0 comments :
Post a Comment