siku ya jana tar 14/112013 majira ya sa 5 usiku nilinusurika kumwagwa
utumbo na jamaa mmoja ambaye anaitwa Dikson kanje baada ya
kutofautiana kauli, ila namshukuru mungu naendelea salama na mtuhumiwa
ameshikiliwa na jeshi la police:
Namshuru mungu madaktari walinipokea vizuri na kunipa huduma haraka iwezekanavyo kwa kunishona nyuzi 4, maumivu yeke si mchezo
0 comments :
Post a Comment