-->

MH SHIBUDA:VYAMA VYOTE TANZANIA VINAMINYA DEMOKRASIA,SI CHEADEMA WALA CCM

Mh. Shibuda akiendelea kuongea na EATV HOT MIX mida ya jioni,amesema vyama vyote vinaminya demokrasia ya uhuru wa mawazo ndani ya vyama hivyo kwa kiwango sawa.

Amesema ukiwa CCM ukitofautiana na viongozi waliopo madarakani unaitwa si mwenzetu, ni wakala wa upinzani. Ukiwa CHADEMA ukitofautiana na viongozi unaitwa msaliti na kibaraka wa CCM.

Pia kasema nia yake ya kugombea urais ipo pale pale, ni kwamba aliahirisha na sio alifuta nia yake hiyo.

Mwisho kawaasa wanasiasa wote nchini kuuepuka mkono wa shetani.
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment