-->

KITIVO CHA BAED MWAKA WA TATU CHAWANG'OA MENO BAED MWAKA WA KWANZA KATIKS CHUO KIKUU CHA WAISLAM MOROGORO

Katika mechi zinazoendelea katika chuo kikuu cha Waislam Morogoro hapo jana zilizikutanisha timu mbili ambazo zote ni BAED yaani mwaka wa kwanza na mwaka wa tatu.Katika BAED DABY hiyo timu ya mwaka wa tatu waliwafanya mwaka wa kwanza wakose cha kuzungumza kwa kuwatandika bao tatu kwa moja(3-1)
Goli la kufutia machozi kwa upande wa BAED mwaka wa kwanza lilifungwa kupitia njia ya penati baada ya golikipa wa timu ya mwaka wa tatu kumdondosha mchezaji wa mwaka wa kwanza kwenye penalty box
na kuwafanya mwaka wa kwanza kujipatia goli hilo la kufutia machozi.




Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment