Katibu wa
Bunge, anasikitika kuwataarifu kifo cha mtumishi wa Ofisi ya Bunge ktk
idara ya shughuli za Bunge, Mkurugenzi Msaidizi Ndg. Anselm L. Mrema
kilichotokea jana usiku tarehe 10.11.2013 ktk hospitali ya mkoa, Dodoma.
Ofisi
inaendelea na taratibu za mazishi kwa kushirikiana na familia ya
marehemu, tutaendelea kuwapa taarifa zaidi kutokana na msiba huo.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe. Amen!
11.11.2013.
Michuzi Blog
0 comments :
Post a Comment