-->

WAKAKAZI WA KIJIJI CHA MAKUNGA MJINI KITALE WACHUKUA SHERIA MKONONI DHIDI YA DHIDI YA POMBE HARAMU


Wakazi wa kijiji cha Makunga mjini Kitale, kaunti ya Trans Nzoia waliamua kuchukua sheria mikononi mwao kusitisha kero la walevi katika kaunti hiyo. Wenyeji hao walizua vurugu na kupeana kichapo kwa wahusika na maafisa wa polisi walilazimika kuingilia kati kutuliza hali.
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment