Katika page ya facebook iliyokuwa na jina wanawake na hatamu kama linavyoonekana hapo chini.Wanawake wameonekana kumsifu Dk Asha Rose Migiro kwa utendaji wake na kuwa kioo kwa wanawake wengine.Shuhudia walichoandika hapo chini
Dr
Asha Rose Migiro naibu katibu mkuu umoja wa mataifa mstaafu na mjumbe
kamati kuu taifa CCM mahusiano ya kimataifa... Kiukweli umekuwa mstari
wa mbele kuonesha wewe ni kiongozi anayeongoza kwa mfano... Wanawake na
Hatamu tunayoimani kubwa sanaa na wewe kutumikia nchi yetu kwani nchi
yetu inahitaji viongozi wazalendo, wawajibikaji na waadirifu na vyote
hivi unavyo......
Blogger Comment
Facebook Comment