-->

RIDHIWANI KIKWETE NAE AFUNGUKA KUHUSU SAKATA LA KUNYANG'ANYWA VYEO KWA ZITTO KABWE CHADEMA

Kwenye ukurasa wake wa facebook ameandika maneno yafuatayo hapo baada ya kutangazwa kwa kunyang'anywa vyeo kwa Zitto Kabwe na wenzke.
"KUFUKUZWA KWA VIONGOZI HAWA CHADEMA.

Naendelea kujifunza matunda ya Siasa za Chuki na Ukanda zinavyoumiza siasa za Tanzania. Mungu anatuasa kupitia vitabu vitakatifu kuwa " ili kuepusha balaa dogo kutokea, basi liwe balaa kubwa zaidi ya hilo.". Imani kuwa aliloandika limetimia...."
na pia akaweka picha nne tofauti zicheki hapo chini
 
 
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment