-->

MBWANA SAMATA ATAJWA KATIKA LISTI YA WACHEZAJI WANAOGOMBEA UCHEZAJI BORA AFRIKA

Mbwana Samatta katika Orodha ya wanaowania tuzo Afrika
Mbwana Samatta, mchezaji kutoka Tanzania anayechezea TP Mazembe, yumi katika orodha ya wachezaji wanao wania tuzo za wanakandanda bora wa Bara la Afrika, kwa wale wanaocheza ligi za ndani.
Orodha hiyo ilitolewa na CAF hivi karibuni ikimtaja yeye pamoja na mchezaji mwenzake Tresor Mputu kutoka TP Mazembe.
CAF pia ilitaja wacheza kandanda wa Barani ulaya ambao wanawania tuzo za Mwanakandanda bora wa Afrika, ambayo ni timu chache tu kut0ka Afrika ambayo zimetoa mchezaji atakae wania tuzo hizo.
Washindi watatajwa January 9, 2014 huko Lagos, Nigeria.
Mwankandanda wa Afrika

Jina
Nchi
Timu

Ahmed Musa
Nigeria
CSKA Moscow

Asamoah Gyan Ghana Al Ain

Dame N’Doye
Senegal
Locomotiv Moscow

Didier Drogba Cote d’Ivoire Galatasaray

Emmanuel Emenike
Nigeria
Fenerbahce

Islam Slimani Algeria Sporting Lisbon

John Mikel Obi
Nigeria
Chelsea

Jonathan Pitroipa Burkina Faso Stade Rennais

Kévin Constant
Guinea
AC Milan

Kwadwo Asamoah Ghana Juventus

Luís Carlos Almada Soares – (Platini)
Cape Verde
AC Omonia

Mehdi Benattia Morocco AS Roma

Mohamed Aboutrika
Egypt
 Al Ahly

Mohamed Salah Egypt Basel FC

Nicolas Nkoulou
Cameroon
Marseille

Pierre-Emerick Aubameyang Gabon Borussia Dortmund,

Ryan Isaac Mendes da Graça
Cape Verde
Lille

Saladin Said Ethiopia Wadi Degla FC

Seydou Keita
Mali
Dalian Aerbin F.C

Sofiane Feghouli Algeria Valencia

Sunday Mba
Nigeria
Warri Wolves

Victor Wanyama Kenya Southampton FC

Vincent Enyeama
Nigeria
Lille

Yao Kouassi Gervais ‘Gervinho’ Cote d’Ivoire AS Roma

Yaya Toure
Cote d’Ivoire
Manchester City
  Wachezaji wanaocheza Afrika

Jina
Nchi
Timu Yake

Adane Girma
Ethiopia
St George

Ahmed Fathi Egypt Al Ahly

Alexis Yougouda Kada
Cameroon
Coton Sport

Ali Machani Tunisia CAB

Bapidi Fils Jean Jules
Cameroon
Coton Sport

Daine Marcelle-Klate South Africa Orlando Pirates

Fakhreddine Ben Youssef
Tunisia
CSS

Getaneh Kebede Ethiopia Bidvest Wits

Idrissa Kouyate
Cote d’Ivoire
CS Sfaxien

Iheb Msakni Tunisia Esperance

Luyanda Lennox Bacela
South Africa
Orlando Pirates

Mbwana  Samatta Tanzania TP Mazembe

Moez Ben Cherifia
Tunisia
EST

Mohamed Aboutrika Egypt Ahly

Rainford Kalaba
Zambia
TP Mazembe

Senzo Meyiwa South Africa Orlando Pirates

Soumbeila Diakite
Mali
Stade Malien

Sunday Mba Nigeria Warri Wolves

Tresor Mputu
DR Congo
TP Mazembe

Waleed Soliman Egypt Al Ahly

Yannick N’djeng
Cameroon
EST
 CHANZO:KANDANDA
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment