Tukio
la mauaji limetokea maeneo ya Mtwara /Mikindani mtaa wa Mkundi bara
bara ya kwenda mji mwema kwa dereva wa Boda boda ajulikanaye kwa jina la
SHARAFI anayekadiriwa na umri wa miaka 26 na 27 aliyekuwa akiendesha
pikipiki namba T 645 CNY.
Chanzo cha kifo chake ni kuchomwa na kitu chenye ncha kali. Haijaelezwa ni sababu zipi zilizopelekea mauaji yake lakini wabashiri wanasema pengine ni jaribio la wizi. Piki piki imeonekana umbali kidogo na eneo tukio la mauaji. Mamlaka husika zinaendelea na uchunguzi.
HABARI NA PICHA: MUANYA MKOLOMA

0 comments :
Post a Comment