Wafanyabiashara Kariakoo na Baadhi Ya Maeneo ya Karume wamegoma kufungua maduka Leo Hii kwa s ababu hawazitaki mashine za risiti walizoagizwa na TRA
Hii sio mara ya kwanza inatokea hapa nchini Tuliskia arusha waligoma juziMwanza baadhi ya maeneo
Na Dodoma pia
so Inabidi TRA wajipange bana
Laki Nane ni ndefu sana kwa mfanya biashara wa kawaida wa kiTanzania
lakini pia si kwamba hawawez kuilipa iyo laki nane,ila tatizo ni muda ulo wekwa na TRA Kulipia izo Mashine
0 comments :
Post a Comment