-->

VAN PERSIE APELEKA KILIO KWENYE TIMU YAKE YA ZAMANI NA KUIPAISHA MAN U

Manchester united leo wameendeleza kipigo kwa timu ya Arsenal kama kawaida yao na kuifanya iweze kupaa kutoka nafasi ya 8 mpaka nafasi ya 5 na kuwagongea hodi wapinzani wake ambao wameshikilia nafasi za juu.Ushindi wa leo unaifanya Manchester uited kuwa na pointi 20 kuifanya kuweza kushika nafasi hiyo ya tano katika msimamo wa ligi kuu uingereza
Kifuatacho ndio kikosi cha Manchester united na Arsenal ambacho kimeanza kwenye mechi ya leo
Manchester United: De Gea; Evra, Vidic (Cleverley), Evans, Smalling; Kagawa (Giggs), Jones, Carrick, Valencia; Rooney, Van Persie (Fellaini).

Arsenal: Szczesny; Sagna, Koscielny, Vermaelen, Gibbs; Arteta (Gnabry), Flamini (Wilshere), Ramsey; Cazorla (Bendtner), Ozil; Giroud.
The Red Devils close the gap on the league leaders. Watch official highlights from the match here. Manchester United reinvigorated...Robin Vampersie akishangilia kwa shangwe na wachezaji wengine wa Manchester united,bao ambalo limeifanya timu hiyo ya Manchester united kuibuka na pointi tatu muhimu ndani ya uwanja wa Old TrafordUnited-arsenal2_original_crop_northRobin Vampersie na Ozil ambao walikuwa wachezaji waliokuwa wakitizamiwa kuyatia rangi matokeo ya mchezo huo muda wowoteKocha Asenal wenger akiinamia chini baada ya timu yake kufungwa bao na mchezaji wake wa zamaniBenditner ambae ni mchezaji wa Arsenal akikosa goli la wazi na kuinyima timu yake goli la kusawazisha
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment