-->

JE KUWEKA DIVISION 5 KUTAONGEZA IDADI YA VITABU,WALIMU,MAABARA NA MAZINGIRA BORA YA KUSOMEA

DIVISION 5 HAIONGEZI MAABARA, VITABU, WALIMU WALA KUBORESHA MASLAHI NA MAZINGIRA YA WALIMU
Mfumo mpya wa elimu tanzania umelenga kuongeza idaidi wa watu naofaulu na si kuongeza ubora wa elimu.
Uchache wa walimu, kukata tamaa kwa walimu kutokana na maslahi na mazingira duni, uchache wa vitabu, maabara, mtaala usiojulikana, udanganyifu, Nk ndio vinavyodumaza elimu nchini.
Je kuweka division 5 ndo kutatua matatizo haya? Naamini wadau waliokaa chini kwa kupewa posho na kuja na maamuzi haya hawakuitendea haki posho waliyolipwa, bali waliangalia matokeo chana kwa waliowapa posho hiyo huku wananchi wakitegemea maumivu katika sekta ya elimu hapa nchini.
Ili kuondokana na tatizo hili la "mtaalam wa SITI SCAN hayupo" taifa linapaswa kuwekeza vya kutosha katrika elimu na si kuweka division 5.
Ninamaanisha kuwa division 5 haitaongeza idadi na ufanisi wa walimu, haitaongeza maabara, vitabu, wala haitaboresha maslahi ya walimu nchini, bali itaongeza idadi wa waliofaulu "with inequality education"
"serikali imepita mtoni badala ya darajani"

CHANZO:TANGANYIKA ONE
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment