-->

MCHEZAJI WA AL AHLY AHMED ABDEL ZAHER AJIKUTA MATATIZONI KWA KUONYESHA ALAMA YA MUSLIM BROTHERHOOD

Ahly player to apologize for flashing Islamist salute, says agent
Mchezaji wa timu ya Al ahly Ahmed Abdel Zaher ya nchini Misri amejikuta matatizoni baada ya kuonysha salute ya Muslim Brotherhood baada ya kuipatia bao timu yake katika mchezo wa fainali kati ya Al ahly na Orlando Pirate ya South Afrika.
Mchezaji huyo inadaiwa kwamba ameahidi kuomba msamaha kupitia vyombo vya vya nchini Misri hivyi yupo kwenye maandalizi ya kuomba msamaha kwa mashabiki wa soka pamoja watu wa Misri wote kwa ujumla.
Sheeha amesema kwamba  amezungumza na Ahmed Abdel Zaher kupitia simu
"I talked to Abdel Zaher a few minutes ago and he told me he is preparing an official statement to apologize for making the Rabaa al-Adaweya sign after scoring that goal.”
Pia aliongeza kuwa
“Abdel Zaher will apologize to Ahly and football fans in general," Sheeha went on. "He will stress that he didn’t mean to offend his club, fans or any of the state's figures. He will clarify that what he meant, by flashing the salute, was that one of his relatives passed away during the dispersal of the Rabaa al-Adaweya sit-in."
"[Abdel Zaher] will confirm that he knows he was mistaken and that he didn’t mean to cause offense to any Egyptian."
Klabu yake ya Al ahly amemsimamisha kwa mud huku ikingojea kikao cha kulijadili kosa la mchezaji huyo na EFA pia wamesema watamuhoji Ahmed Abdel Zaher kwa kitendo hicho kwa mujibu wa sheria za michezo pamoja na kauli ya waziri wa michezo Taher Abu Zeid ambae alishawahi kumfungia mchezaji wa karate  Mohamed Youssef kwa kosa kama hilo la kuonyesha alama hiyo
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment