Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Kamati za
Amani za mikoa ya Dar es salaam na Mwanza walioshiki katika futari
iliyoandaliwa na Kamatiya Amaniya mkoa wa Dar es salaam kwenye ukumbi wa
Karimjee Juni 3, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Mke
wa Waziri Mkuu , Mama Tunu Pinda wapili kulia) akizungumza na baadhi
ya wnawake walioshiriki katika futari iliyoandaliwa na Kamatiya Amani
ya mkoa wa Dar es salaam kwenye ukumbi wa Karimjee Juni 3, 2015. Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda alikuwa mgeni rasmi katika futari hiyo. Viongozi wa
Kamati ya Amani ya Mkoa wa Mwanza pia walialikwa katika futari
hiyo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Baadhi
ya washiriki wa futari iliyoandaliwa na Kamati ya Amani ya viongozi wa
dini wa mkoa wa Dar es salaam kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini
Dar es slaan Julai 3, 2013ambapo mgemoi rasmi alikuwa Waziri Mkuu,
Mizengo Pinda. Viongozi wa kamati ya Amani ya mkoa wa Mwanza pia
walialikwa kwenye futari hiyo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
0 comments :
Post a Comment