-->

MESSI NA MASCHERANA WANANISHAWISHI NIJIUNGE BARCELONA ASEMA DI MARIA

Umesikia kauli ya Angel Di Maria?
" Leo Messi na Javier Mascherano. mda mwingi wananitania na kuniambia nijiunge na Barcelona, lakini najisikia vizuri kuwepo
Manchester United. kila mwaka wangu wa kwanza katika timu ninazojiunga nazo mambo huwa hayaendi vizuri. nitaongeza juhudi na nitafanikiwa nikiwa hapa"
Neno moja kwake winga tegemeo wa Argentina na United
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment