-->

HAMISI TAMWE NA SHERMAN WASHIKANA MAZOEZINI

Washambuliaji wa Yanga SC, Mrundi Amissi Tambwe (kushoto) na Mliberia, Kpah Sherman (kulia) wakisukumana wakati wa mazoezi kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi, barabara ya Barack Obama, eneo la Sea View, Dar ez Salaam. 
Tambwe na Sherman wakionyeshana nani mwenye ubavu
Lakini baadaye Tambwe alizidiwa na Sherman, ingawa mwenyewe akasema mchanga umemuingia jichoni
Kocha Hans van der Pluijm akambadilishia Tambwe 'mpinzani' na kumpa beki Edward Charles
Tambwe naye akahamishiwa kwa Oscar Joshua, ambaye huyo walitoana naye jasho 
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment