Kuna stori zimeenea mitandaoni kwamba
kuna mtu ambae amekamatwa na mabilioni ya pesa Dodoma, kingine ni kwamba
amekamatwa na simu ikiwa na maelekezo kwamba pesa hizo ni za kuwapatia
Wajumbe.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe ameandika ujumbe @Twitter kukanusha kuhusika na mtu huyo >>> “Kuna taarifa za uongo zinazoenezwa kwamba kuna “Mtu wa Membe” amekamatwa na pesa Dodoma“
Kwenye Tweet nyingine Waziri Membe ameandika hivi >>>”siasa
hizi ni za hovyo kwani hazitajenga Taifa letu. Naomba msihadaike na
watu wanaotaka kututia doa baada ya kukosa uchafu dhidi yetu” >>> @BernardMembe
siasa hizi ni za hovyo kwani hazitajenga Taifa letu. Naomba msihadaike na watu wanaotaka kututia doa baada ya kukosa uchafu dhidi yetu (2/2)
— Bernard Membe (@BernardMembe) July 11, 2015
"Kuna taarifa za uongo zinazoenezwa kwamba kuna "Mtu wa Membe" amekamatwa na pesa Dodoma (1/2)
— Bernard Membe (@BernardMembe) July 11, 2015
0 comments :
Post a Comment