Najua wapo ambao wako mahali ambapo
hawezi kusikiliza TV wala kuangalia Radio ili kujua kinachoendelea Makao
Makuu ya CCM Dodoma sasahivi, kimefanywa hiki kitu rahisi kabisa ili
kama una simu yako, au kifaa chochote kinachotumia Internet unapata
matangazo yote LIVE kutoka Dodoma muda wote kuanzia sasa.
Kila kitu kinachoendelea utakipata LIVE kwenye link hii mtu wangu >>> http://livestream.com/CCM/Uchaguzi2015
0 comments :
Post a Comment