‘Hivi sasa
Uongozi mzima wa Chama upo kwenye retreat ili kujipanga na uchaguzi.
Hatuna mazungumzo wala makubaliano na mtu yeyote kutoka chama kingine
kuhusu nafasi ya Urais. Mgombea wetu atapatikana kwa kupitia vikao vya
chama chetu…’ -@zittokabwe
Chama chetu kitateua mgombea au kuunga mkono mgombea wa chama kingine kwa maamuzi ya VIKAO vya chama. Kama... http://t.co/Cn1A891cSl
— Zitto Ruyagwa Kabwe (@zittokabwe) July 11, 2015
0 comments :
Post a Comment